Alhamisi, 25 Septemba 2014

umuhimu wa utunzaji wa mazingira

MAZINGIRA NDIO HAZINA YETU

TUNZA MAZINGIRA YAKUTUNZE

Mazingira kama inavyotafsiriwa na watafiti mbalimbali wa masuala hayo ni kila kitu chenye kumzunguka binadamu au kiumbe.kama vile viumbe hai(BIOTIC), na visivyo hai (ABIOTIC).

pale tutakapotunza mazingira ndipo yatatoa faida kwa vizazi vyetu mpaka vijavyo kinyume chake ni hasara kwa vizazi vyetu mpaka vijavyo.

 

 

ukosefu wa maji safi na salama husababisha  uharibifu wa mazingira  na miundo mbinu kama kinamama hawa walikuwa waanachota maji kwenye bomba la dawasa lililotobolewa Tandale jijini Dar es salaam.

Moja ya faida ya utunzaji wa mazingira ni kupatikana mali asili (NATURAL RESOURCES),AmbaZo hutumika kwa matumizi ya binadamu na viumbe kwa jumla,kama vile maji,upepo,udongo.

Sababu kubwa inayopelekea kuharibika kwa mazingira ni pamoja na

1, Ukuaji wa miji (URBANIZATION).

2,Ongezeko la watu (POPULATION GROWTH).

3,Ukuaji wa uchumi (ECONOMIC GROWTH).

4,Ongezo la matumizi ya nishati kama kuni (INCREASE IN ENERGY USE).

5,kuongezeka matumizi ya usafiri  (INCREASE IN TRANSPORTATION).

6,Matumizi ya kilimo (INTENSIFICATION OF AGRICULTURE).

Kutokana na sababu mbalimbali ambazo zinapelekea kuharibika kwa mazingira zipo hatua ambazo zinaweaz kuchukuliwa kwa ajili ya kuzuia uharibifukama vile:

1,Matumizi mazuri ya maji safi na maji taka (CONSERVE WATER).


wananchi hutumia mifereji ya kupitisha maji ya mvua kutupa takataka kwa kukosa huduma ya uzoaji wa takataka na hivyokuharibu mazingira jijini Dar es salaam.

2,Kutokutupa taka kwenye maeneo salama ya maisha (DO NOT LILTER).

3,Kuhamasisha utunzaji wa mazingira (JOIN AN AWERENESS GROUP).

4,kuwa wakili mzuri na rafiki wa mazingira(BE ADVOCATE TO SAVE OUR PLANET).

kinyume chake ni madhara kwa wanyama wa mwituni, mimea,wanyama wanaofugwa'na viumbe wengine.

ni jukumu letu sote kutunza mazingira.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni